huyu dada kama anavyopost humu ni kweli basi ana matatizo makubwa sana........nikiambiwa nichague kati ya hela,kazi,mke au kujitambua..nitachagua kujitambua
Wanawake wenyewe ndo hawa, tukikataa kuoa mtatulaumu?
Mbona umejumuisha wote.............nilidhani we ni mpinga generalization, mbona mabinti wa staha zao wako wengi
Babu Dark City, hivi mid life crisis huwa inaanza umri gani??
Je mtu anaweza pata pre mature mid life crisis??
Na premature menopause huwa ina athari gani kwa binadamu.
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
Kunradhi bibie.
Ila wenzenu wanawapaka matope mpaka ma walii wa kupinga generalization wanaghafilika.
Nimetumia fasihi zaidi kutaka kuonyesha uzito wa tatizo, naelewa kuna wanawake murua kama mchumba angu anayenipa matumaini katika dunia iliyojaa wasiwasi, anayenikata kiu kama maji safi kwa msafiri aliye katikati ya Gobi au Sahara.
Kwa hiyo najua kuna upande wa pili wa habari hii.
Ila nimepata moyo kwamba kuna wengine wengi hamtaki kuwekwa kundi hilo.
Labda tutaoa after all. 🙂
Mbona umeamua kunisulubu kiasi hicho Kongosho,
Ngoja nirudi kwenye darasa, labda nitapata majibu!!
Babu DC!!
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
Wanawake wenyewe ndo hawa, tukikataa kuoa mtatulaumu?
Master's ya nini??
Umemsikia DC wa Korogwe??
Sorry kama unayo ya Harvard!
Babu DC!!
Kuna sred moja alisema yuko >35, ameolewa na ana mtoto
Kuna watu huwa wanapata premature menopause, labda ina mathara kwa uwezo wa ubongo.
Nina masters degree I want advise ok .you don't have to comment
Umeona BADILI TABIA....,????
Hata mie bado najiuliza sana, hivi huyu Natalia ni binadamu wa kawaida au aina fulani ya robbot inayovaa nguo za kike??
Babu DC!!
Kuna sred moja alisema yuko >35, ameolewa na ana mtoto
Kuna watu huwa wanapata premature menopause, labda ina mathara kwa uwezo wa ubongo.
Tunashukuru kwa taarifa hata hivyo umechelewa kuisema hatutaiingiza kwenye hansad..
Nextym muache kabla hujaanza kumpotezea muda.