Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
aiseeeeee!! hivi kume sio story, haya mambo hu-exist eee??? lolest!Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
Ya Chupi?dada Natalia nakushauri ukasomee chekechea ya mapenzi.Master's ya nini??
Umemsikia DC wa Korogwe??
Sorry kama unayo ya Harvard!
Babu DC!!
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
I work my money is in the bankKwa hiyo wewe ulimpendea kazi?.......fanya kazi na wewe siku hizi maisha ni kusaidiana!......hapo ungekuwa na kazi yako wala usingefikiria kumuacha mwenzio.
I work my money is in the bank
Mara unamuacha anatajirika utafanzaje? Think twice.
Nafanya kazi hela yangu iko bank ni yangu.
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
wewe ni kizibo...nafanya kazi hela yangu iko bank ni yangu.
kama ulimpendea kazi yake na yeye anajua hilo mwache mwayego
maana hakidhi tena viwango vya mkataba wenu.....lol
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
Master's ya nini??
Umemsikia DC wa Korogwe??
Sorry kama unayo ya Harvard!
Babu DC!!