1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
4. Ahudumie familia kikamilifu
************
nyingine naomba muongeze wana harakati wenzangu tuutokomeze huu mfumo dume
I love you Afroie!mwanaume wangu
awe na kazi na awe mzuri kwenye majambozzi
baaaaassssii kazi kwisha
hayo mengine tufanye pamoja
sintopenda mwanume wangu awe kama mwanamke
ntapenda tusaidiane hapa na pale lakini sintopenda
afanye kazi za ndani masaa yote ..uwanaume hapo hauna maana..
Am in love with you Susie!wakukufanyia hayo yote lbd uwe umemlisha limbwata!!! CPU ninavyomfahamu eti adamke asugue sufuria! dada zake watakutoa nyongo.
mwanaume wangu
awe na kazi na awe mzuri kwenye majambozzi
baaaaassssii kazi kwisha
hayo mengine tufanye pamoja
sintopenda mwanume wangu awe kama mwanamke
ntapenda tusaidiane hapa na pale lakini sintopenda
afanye kazi za ndani masaa yote ..uwanaume hapo hauna maana..
I love you Afroie!
Am in love with you Susie!
wakukufanyia hayo yote lbd uwe umemlisha limbwata!!! CPU ninavyomfahamu eti adamke asugue sufuria! dada zake watakutoa nyongo.
Sasa wakati anafanya usafi na kutengeneza kifungua kinywa,we utakuwa wapi?
unaangalia mechi ya man u na asenali au uko kwenye jukwaa fulani hapa JF?
haileti raha bhanaaaaaaaa......
Mwanaume mwanaume tu
Anapaswa kukusaidi pale inapobidi lakini ukiizidisha hivyo
hata raha ya yeye kuwepo ndani kama mwanaume haitakuwepo.
ha hahaaaaaaaaa babuuuu!!! nimekumiss sana !!!
You can say that again!Sasa wakati anafanya usafi na kutengeneza kifungua kinywa,we utakuwa wapi?
unaangalia mechi ya man u na asenali au uko kwenye jukwaa fulani hapa JF?
haileti raha bhanaaaaaaaa......
Mwanaume mwanaume tu
Anapaswa kukusaidi pale inapobidi lakini ukiizidisha hivyo
hata raha ya yeye kuwepo ndani kama mwanaume haitakuwepo.
I will marry you!umeonaeeh!!!
wanaume wenyewe wakulenga kwa manati!!! aku mwaya wangu mie hata ndevu nitamnyoa akiwa amelala kitandani!!!
You can say that again!
I will marry you!
I will marry you!
teh teh teh!!! babu maji ya kuoga nitakuchemshia pamoja na iliki na mdalasini!! shuti kukubeba kukupeleka bafuni!!!
We dogo acha mkwara....hebu soma hapa chini, sitaki longolongo.Nakuonya mara ya mwisho
Achana na huyu binti . . .
teh teh teh!!! babu maji ya kuoga nitakuchemshia pamoja na iliki na mdalasini!! shuti kukubeba kukupeleka bafuni!!!
Hivi babygirl, si unajua pa kunipata? babu is always there for you......
Kama umesahau, twenzetu PM, watoto bado hawajalala hapa sebuleni.