Achana nae huyu Babu Kikongwe, yupo baridi kama Uhai feki. Anatumia tu mbinu ya kusema NTAKUOA kukata kiu yake
We dogo acha mkwara....hebu soma hapa chini, sitaki longolongo.
Ngoja niwahi gym nipunguze uzito nisije kumlemea mke wangu mtarajiwa.
We dogo acha mkwara....hebu soma hapa chini, sitaki longolongo.
teh teh teh uwiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie CPU!!!
So what can i do!!! umri unakwenda nimekupigia misele CPU mpaka leo umenitolea nje??
hah haaaaaaaa babu kumbe unakitambiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!
Nani asome
Umshaandaliwa maji ya mpapai kwenye pipa, kaoge tukufukize na mizoga ya mbu
We dogo utachonga sana, lakini mtoto atakimbilia mikononi mwa babu. Nani alikudanganya Susy anapenda visharobaro?
Wengine wanadhani kumrundikia mwanaume kazi zote ambazo huko nyuma ilizoeleka afanye mwanamke basi ndio KUJIKOMBOA aka HARAKATI.
Wanaume wenyewe wa kuoa mpaka utumie darubini ya iliyotumika kumnasa Osama Bin Laden halafu bado eti awe wa kwanza kufanya usafi na kuandaa chai????
1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
4. Ahudumie familia kikamilifu
************
nyingine naomba muongeze wana harakati wenzangu tuutokomeze huu mfumo dume
lazima ulikuwa unaota!1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
4. Ahudumie familia kikamilifu
************
nyingine naomba muongeze wana harakati wenzangu tuutokomeze huu mfumo dume
1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
4. Ahudumie familia kikamilifu
************
nyingine naomba muongeze wana harakati wenzangu tuutokomeze huu mfumo dume
sred klosedmwanaume wangu
awe na kazi na awe mzuri kwenye majambozzi
baaaaassssii kazi kwisha
hayo mengine tufanye pamoja
sintopenda mwanume wangu awe kama mwanamke
ntapenda tusaidiane hapa na pale lakini sintopenda
afanye kazi za ndani masaa yote ..uwanaume hapo hauna maana..
heheheeh dah! hii kali! halaf huyo mdada si member wa JF kweli? , cuz hawa wadada wa JF mikwala yao unaweza ukahairisha ndoa siku ya halusi.
Wengine wanadhani kumrundikia mwanaume kazi zote ambazo huko nyuma ilizoeleka afanye mwanamke basi ndio KUJIKOMBOA aka HARAKATI.
Wanaume wenyewe wa kuoa mpaka utumie darubini ya iliyotumika kumnasa Osama Bin Laden halafu bado eti awe wa kwanza kufanya usafi na kuandaa chai????
Usiogope Nemo mtasaidiana tuJamani........... If women labouring in the kitchen and doing house chores, while their men seat, lazying around watching tv ndio standards aka darubini ya kupata waume, then exactly what's the point of us having a PARTNER??.....................Du, I guess I should just kiss goodbye any thoughts of me walking down through the aisle!