Mwanaume Kama Una Roho Ndogo, Usishuhudie Mke wako Akipimwa Njia Ya Mtoto wakati anakaribia kujifungua.

Bibi yangu alikataa kabisa kutibiwa na vijana wadogo hawa wengi wao nidhamu ni 0 kabisa.

Mpo na mtu mzima mnamtibia, kama ndo kuna hao wauguzi wawili hawaachi vistory vyao, ishu ya kumfariji mgonjwa kwao ni changamoto.

Ila pamoja na hayo kumchanja wife hilo hapana aisee, mambo ya operation siyakubali kabisa..
 

NA HAPO KUNA MABWEGE WANAPINGA HUU UZI
 
Hawa watoto wa field ifikie wakati wawekewe mipaka. Maana bado wengi wao wana utoto mwingi.

 
Hahaha mtakoma
 
Mgonjwa ukikataa kuhudumiwa na hivi vitoto vya field, madaktari halisi watakuhudumia tu. Ila ukiwa mpole, ndiyo vitakuja kukuzunguka na kukugeuza kuwa darasa lao la kujifunzia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bongo tabu sana sasa hutaki mkeo apimwe njia ikitokea la kutokea hao unao wakataa wasi mpime njia watakuwa msaada kwa mke wako.
.
Kama utaki nenda VIP tu
 
Acha Kila mmoja afanye kazi yake asee!!
 
Cervix lazima I dilate Cm 10 si chini ya hapo ndio anaweza kuzaa natural birth/normal delivery haijalishi mimba ya 1 au ya 10.

Kupima njia ni kawaida sababu njia hufunguka cm 1 Kila Baada ya lisaa na active labor huanzia cm 4-6 ambapo inaweza kudumu masaa 6-8

Hivyo lazima kupimwa njia mara kwa mara kuona kuna progress yoyote kwenye cervix ku dilate je wamuwekee miso pistol kidogo kusaidia ku dilate cervix au wamuwekee drip ya oxytocin au afanyiwe C-section.

Pia kupima njia Kuna kitu kinaitwa ku sweep Wakunga na Dr wanajua inasaidia ku dilate cervix.

Ukileta mawazo ya kijinga somea ukunga uzalishe mkeo 😁Yaani kumpasua mtoto wa watu kisa asipimwe na Dr walo field huo ni Ukatili kama Ukatili mwingine maana oparesheni Ina mateso milele halafu hata hao Dr wakubwa walipitia field.kusema mtoto alikaa vibaya wampasue Dr lazima waombe upige utra sound wiki ya 36 ili kuona mtoto kakaa cephalic position (kutanguliza kichwa)au Breech position (kutanguliza makalio) wengine mpaka mkono mguu au kama Kuna cord around the neck(kitovu kujifungua shingoni kwa mtoto)hivyo ukienda akasema report lazima nae apime tu kujidhihirishia ndo afanye uamuzi wa op haswa kwa mimba ya kwanza huwezi zaa breech position lazima kisu mimba zaidi ya moja unazaa tu kimatako matako.

Na kuhusu ulokuta wanajadili kuhusu papuchi laini walokutana nayo Wana haki ya kusifia hata Ma Dr husifia papa safi maana wanawake wengi wakiahakuwa wajawazito basi hawajijali Tena na wabongo wengi wanawake ni watu wa kujali muonekano wa nje sababu waonelana sio uchi wake Wala mapaja makalio utakuta mdada mzuri uke mweusi mapaja meusi matako mapele hawana muda wa scrub kabisa Wala kupkaa moisturizer.

Nakumbuka mwanangu wa kwanza nilikuwa napenda chooni kuoga na kunawa niwe msafi wenzangu unapoza uchungu muda wa kupima Nesi akaomba jamani Dr anataka awapime ila mkanawee jamani mnakuja kupima sio Wasafi kama chupa haijapasuka unawe chupa ikipasuka ndo huruhusiwi kuweka mkono utapeleka infection kwa mtoto maana kizazi Kiko wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…