Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
you are projecting your financial insecurity into other people's expenditure which is too badHabari....
Hivi mwanaume unanunua ice cream au lambalamba unakula barabarani kama mwanamke au mtoto mdogo unamaanisha nini??
Kwa nini mnatudhalilisha sisi wanaume??
ACHENI TABIA ZA KIJINGA, nunua karanga, korosho na vitu vingine vya kiume. Huo ujinga wa kike acheni haraka sana. HASA WATU WA DAR.
Huko mashambani si mnatembea mkitafuna miwa njia nzima, tena wengine mna ustadi hadi wa kula miwa mkiendesha baiskeli. Shida yenu wakuja mnatujazia jiji halafu mnatunanga wakati hizi hulka za kuvaa vitop zinaletwa na ugeni wenu hapa mjiniDar inafaa sana kuwekwa katika listi ya maajabu 7 ya dunia.
Dume zima linanunua muhindi wa kuchoma linapakaa pilipili na chumvi na kutembea likitafuna njiani daaah...[emoji24]
Kwetu hakuna mahindi ya kishamba hivyo ambapo yasipopakazwa pilipili na chumvi basi hayana ladha kama chama wanazokula watoto wa Dar [emoji57]Huko mashambani si mnatembea mkitafuna miwa njia nzima, tena wengine mna ustadi hadi wa kula miwa mkiendesha baiskeli. Shida yenu wakuja mnatujazia jiji halafu mnatunanga wakati hizi hulka za kuvaa vitop zinaletwa na ugeni wenu hapa mjini
Kwa hiyo roho inakuuma sababu kwenu hakuna pilipili na ndimu au kuona watu wamekuwa wabunifu. By the way, hata haya ya kishamba yanatoka huko huko porini, sisi tunawapatia tu mbolea na mitumba ili msije huku mtulimie mahindi, sasa sijui huku umefikafikaje babu!Kwetu hakuna mahindi ya kishamba hivyo ambapo yasipopakazwa pilipili na chumvi basi hayana ladha kama chama wanazokula watoto wa Dar [emoji57]
We bhn fanya yako kama imeandkwa n ya kke kama ukla utapat mimba sawHabari....
Hivi mwanaume unanunua ice cream au lambalamba unakula barabarani kama mwanamke au mtoto mdogo unamaanisha nini??
Kwa nini mnatudhalilisha sisi wanaume??
ACHENI TABIA ZA KIJINGA, nunua karanga, korosho na vitu vingine vya kiume. Huo ujinga wa kike acheni haraka sana. HASA WATU WA DAR.
Tamu hii jamaani [emoji39][emoji39]