Mwanaume Kenya atokwa na funza sehemu za siri baada ya kulala na mke wa mtu

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Kenya hawaeshi vituko katika nyanja za uchawi.

Baba mmoja wa makamo amejikuta akiadhirika mbele ya umati wa watu baada ya kutokwa na wadudu aina ya funza(Maggots) sehemu zake za siri. Masaibu hayo yalimpata baada ya kulala/kuzini na mke wa jamaa mmoja.

Mzee huyo amejikuta akilia kama mtoto na kuomba asamehewe.

mwake tu,hata asipomsamehe ila ndo kesha mgegeda
 
Back
Top Bottom