Kenya hawaeshi vituko katika nyanja za uchawi.
Baba mmoja wa makamo amejikuta akiadhirika mbele ya umati wa watu baada ya kutokwa na wadudu aina ya funza(Maggots) sehemu zake za siri. Masaibu hayo yalimpata baada ya kulala/kuzini na mke wa jamaa mmoja.
Mzee huyo amejikuta akilia kama mtoto na kuomba asamehewe.