Mwanaume kuitwa anti.

Tall

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
1,425
Reaction score
168
Inasikitisha na kuhuzunisha,pale mwanaume tena na masharubu yake kwa bahati mbaya ukaitwa anti na mwana JF mwezio,anyway atakuomba radhi, thats ok,BINAFSI sijaitwa anti lakini, majina mengi ya humu hayaonyeshi kama huyu ni mme au mke.USHAURI; kwa nini pasiwe na utaratibu ambao moja kwa moja najua sasa nawasiliana na jinsia ya kike au kiume. Mfano mimi Tall naweza nikasomeka kama Tall-M kila atakaesoma mawassiliano yangu atajua tall ni mwanaume= M=Man na hivyo hivyo akina dada wao baada ya majina yao waweke-F ikiimanisa Female. Sidhani kama kuna watu hawataki wajulikane kama ni wanawake au midume, basi kama watakuwepo labda watumie alama ya N,= NUTRAL TUTAJUA HUYU HATAKI TUJUE JINSIA YAKE.Hayo ni mawazo yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…