[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usisuse wifi. Tunayaweka sawa na kaka ako pm.
KabisaaaTushamaliza wifi. Subiria utambulisho rasmi.
Mtakatifu kiduchuHahaha
Nakuja[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
KhaaaSijui hata, Mzigua kaniudhii
Uhitaji wa papuchi uanweza usiwe na subra!Basi atafute kwanza
HahahaHapana kushare Sakayo. BAK na weye na weye na BAK baaaaaasi.
Kheeeeeee dada mbona sikuelewi mieHahaha
Pm hapana, hebu muongee hapa hapa
Cc@mzigua90Hapana kushare Sakayo. BAK na weye na weye na BAK baaaaaasi.
WoyooooooooooHapana kushare Sakayo. BAK na weye na weye na BAK baaaaaasi.
HahahaNaona wewe ndo hupendi yangu ndugu mpaka unataka kuninyima mchuchu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante kwa kunikataa live BAK [emoji22][emoji22]
Mkuu nani kakupa mamlaka ya kimiliki kanisa kwa mjibu wa maandiko kanisa ni mali ya Mungu alielinunua kwa damu ya thamani sana zaid ya fedha na dhahabu.. Nina wasiwasi na huduma yako uko kimasrahi zaid na walewale wachungaji wa mishahara.Hahahahahaha.......wameshakuelewa.....Ila nitakualika siku moja kwenye kanisa langu (BREAST AND HONEY FELLOWSHIP INTERNATIONAL) ili uwaelimishe vijana coz siku hizi wanafelisha sana.
Wooooooooooozeeeeerrr wakunyumba wangu msubirie BAK mwingineHahaha
Nakupenda tuu aki, asante mwaya!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante kwa kunikataa live BAK [emoji22][emoji22]
MwenyeweMfyuuuuuuu
Kwani una shughuli gani huko piemu mchumba
MuoneMtakatifu kiduchu
Kwani huna macho auKhaaa
Kakuudhi na nn sasa jamani
Khaaaaaaaaaa mtakatifu weehCc@mzigua90