Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411

Nani kakudanganya?!

Labda kama umri wake umevuka 25-27 umri ambao anatakiwa awe na kazi.Ila chini ya hapo sio vibaya kwasababu wengi wanakua wanasoma kwahiyo badala ya kupanga wakati hana mshahara anakaa kwa dada vile yuko karibu.
Hili nalo neno, sio unakaa kwa watu remote zote umeshikilia wewe, watoto wao wanataka cartoon network wewe ss3, kwako???huwezi kuwa huru kwa watu! kama una sababu ya msingi ya kukaa kwa dadako na shemeji yako hakuna tatizo. ila shida ni kujibweteka. tafuta kazi kwa bidii na uwaoneshe kuwa ww sio mzigo. wapo vijana wanakaa kwa dada zao wakipata kazi na kuondoka hata shemeji yao anasikitika kwa jinsi ambavyo watammisi. ila kama kijana ni mtu wa kusalandia hgeli, hajitumi kusaidia issue ndogo ndogo walau kupeleka magari ya watu gereji na kusimamia mafundi, au kama sio muaminifu, siku akiaga kila mtu anashusha pumzi. ugali wa shkamoo shurti uutumikie atii!

Nani kakudanganya?!

Labda kama umri wake umevuka 25-27 umri ambao anatakiwa awe na kazi.Ila chini ya hapo sio vibaya kwasababu wengi wanakua wanasoma kwahiyo badala ya kupanga wakati hana mshahara anakaa kwa dada vile yuko karibu.
Nani kakudanganya?!
Labda kama umri wake umevuka 25-27 umri ambao anatakiwa awe na kazi.Ila chini ya hapo sio vibaya kwasababu wengi wanakua wanasoma kwahiyo badala ya kupanga wakati hana mshahara anakaa kwa dada vile yuko karibu.
hapo umenena, hakuna kitu kibaya kama utegemezi kwani uhuru haupo na unakaa ukiishi kimachale.mashemeji ndiyo huzima taa........kwa kuchongea ndiyo wenyewe...................yupo mdada mmoja alilalamikiwa na mtoto wake wa kike ya kuwa baba mdogo alikuwa anamshikashika nyeti zake yule mama alilia sana lakini akaogopa kumtonya mumewe kwa kuhofia kugeuziwa kibao...................kuwa anamchukia shemejiye na kuwa anamjengea mazingira ya kumtimua mdogo wa mumewe.............................watu wajenge mazingira ya kujitegemea tu hakuna suluhishi hapo...........
Mimi nafikiri hapa tuzungumzie pande zote mbili, yaani mwanamke/mwanaume kukaa kwa dada/kaka yake aliyeolewa/oa, ukifanya utafiti utagundua ndoa za aina hii mara nyingi ugomvi hauishi, mashtaka kibao kila siku. Ila mtu akae kwa kaka/dada yake kwa malengo jamani, mfano mtu ana miaka 27.... yupo tuu kwa dada/kaka anakula anaamka, na mkienda kazini yeye ndiye ana-control almost kila kitu hapo kwenu hadi watoto wanajenga chuki dhidi yake. Mtu akikaa kwa malengo kama shule kutafuta kazi mimi sioni kama ni tatizo lakini kukaa tuu yaani kkb (kula, kulala, bure) hapo hata akili ya kujitafutia haitakuwepo coz kila kitu anapata bure anashtuka ana miaka 33 au 35!!Katika harakati za kujipanga na kujiandaandaa,mwanaume kukaa kwa dadako aliyeolewa, wengi hawapendi na jamii inamchukulia kama "he is not man enough"yuko tayari kuishi hata kwa rafiki kuliko kwa dada yake, kwanini huu mtizamo upo??
Katika harakati za kujipanga na kujiandaandaa,mwanaume kukaa kwa dadako aliyeolewa, wengi hawapendi na jamii inamchukulia kama "he is not man enough"yuko tayari kuishi hata kwa rafiki kuliko kwa dada yake, kwanini huu mtizamo upo??

Dada umeolewa na wewe mtoto wakiume ushafikia umri wakujishughulisha unajipweteka kwa shemeji inaonyesha kama mmeolewa nyote,,