Mwanaume Kumbuka, Hudaiwi Kitu Na Mwanamke Usiyemjua Wala Yeye Hakudai Kitu.

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2023
Posts
382
Reaction score
687
Usijihisi labda una deni kwake.
Usijihisi kuna kitu inabidi umfanyie.
Usijihisi usipompa chochote kitu atakua hakupendi. Hapana. Tambua kuwa huyo mwanamke ni kama mtu mwingine.

Ukiona mawazo ya hivyo yanakujia, kwamba, inabidi umpe hela/ chochote sababu amekupa muda wake au ili upate muda wake jikumbushe kuwa, mwanamke hakudai kitu.

Umepata namba yake lakini haeleweki, humdai/ hakudai songa mbele.
Umekutana naye barabarani hajajibu salamu we songa, hamdaiani kitu.

Hii inamaanisha, hauna ulazima wa kuweka nguvu zako kwa mwanamke asiyeweka nguvu kwako. Au asiyeeleweka.

Lakini haina maana usimpe kitu au usimpe maisha mazuri.

Unaweza fanya hivyo, ila lengo lako liwe kufurahi, toa pasipo kutarajia kitu…
… sio kufanya ivo ili upate kitu fulani.

Bali mruhusu naye afurahi ndani ya maisha yako, chini yako.
Naye anashiriki hayo maisha mazuri uliyonayo (maisha mazuri sio lazima uwe na Range Rover).
Sio kujiweka we wa pili ye wa kwanza ili umpe maisha mazuri.

Usije ukajihisi una ulazima wa kujibu text zisizo na msingi.
Wala kujihisi lazima umpate mwanamke fulani ili aone jinsi ulivyo bora.
Au umpate ili umpe furaha, au umpate ili umpe maisha mazuri. Au umpate ili kumuonesha kiasi gani umeelewa masomo ya Infinite kiumeni (hakikisha umeyaelewa vizuri atakupenda mwenyewe haha).

Hakudai chochote kati ya hayo. Jitue huo mzigo na uwe huru.
Wala we humdai chochote, kama hamjaendana kubali na usonge mbele.

Na pia usijihisi umepoteza kitu usipompata/ akikukataa. Jikumbushe ulikua humdai kitu wala mwili wake.
Baada ya miezi sita utamsahau ukiwa unafatilia mambo yako.

Kitu unachodaiwa hapa duniani ni kutimiza malengo yako katika kuiboresha jamii.
Na mwanaume, unadaiwa kutimiza maneno uliyosema.

Ukiona unamuwaza mwanamke sana, jikumbushe hakudai chochote.

Kadri unavyozidi kujikumbusha hivyo ndo unajitengenezea moyo wa chuma wa kutoendeshwa na mwanamke.

Ila kwa aliye kubali kuwa nawe, mruhusu kwenye furaha yako, na ufurahi naye bila kujihisi anakudai kitu.

Ishi maisha ya furaha wala hutojisikia ulazima kumlazimisha mwingine awe nayo. Atajikuta tu naye ana furaha.

Nikutakie Weekend Njema Yenye Amani.

Share Na Wengine Wapate Kujifunza.

Usisahau Kujiunga Na Wenzako 100 Katika Telegram Ya Infinite Kiumeni

infinite kiumeni
 
Nakazia[emoji4]
IMG_20210916_185527.jpg
 
Umeongea sahihi hasa Kwa wanawake wa kukutana barabarani..

Lakini maofisin Acha tu...
Kinakuja ki intern unaona watu wazima wanavyobadilika...mara wagombanie kumpa lunch...mara lift..mradi watu wanatia huruma...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeongea sahihi hasa Kwa wanawake wa kukutana barabarani..

Lakini maofisin Acha tu...
Kinakuja ki intern unaona watu wazima wanavyobadilika...mara wagombanie kumpa lunch...mara lift..mradi watu wanatia huruma...
Kisa watu wakojolee pazuri
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom