Habari Za Jioni wana JF.
Naomba mawazo yenu ktk hili. Hivi, katika mahusiano mwanaume kumpa mwanamke hela ina maana gani???? hasa wanaume naomba mnisaidie. Je ukiwa kama mwanaume, una girlfriend ambaye kipato chake na chako vinafanana utampa hela at any point???
kama ndio kwanini
kama hapana kwanini
vipi kama umemzidi kidogo kipato???
vipi kama yeye amekuzid????
Asante kwa comment
wow...haya BhanaMwaanume kumpa mke wake pesa ni lazima, kama ni gf akalale mbele simpi hata siku moja.
Mke wako hata kama unamshahara mdogo kuliko wake, ni lazima umpe pesa.
Ndo mana mimi nikisema gf simpeleki out wengine wakaniona mshamba...Mimi gf simpi pesa yangu hata siku moja.
Kama ni mke wangu achukue zote tu hata nikose za mlo sitajali, sababu ni mke wangu :A S thumbs_up:
hakuna kitu kama kumpa mwanamke/mwanaume hela, bali kuna kusaidiana. kwahiyo hata kama mpenzi wangu kanizidi kipato , pale akiwa na shida nitamsaidia tu, kwani kuwa na kipato kikubwa haimaanishi kuto kuishiwa
umenena kaka..i support this 100%Nadhani hapa mnataka kuchanganya Habari, ni kwamba hapa tuliopo JF kila mtu ana Maisha yake na style zake na inategemea your patner ni wa Category ipi?
Kama either ni girlfriend au Mke wako na Financial yuko vizuri basi Thanks God, ni kwamba instead kumpa sapoti ya cash then unaweza ukawa unamnunulia gift za Kijanja ambazo hata yeye atakuapliciate sana kuliko hata kama ungekuwa unampa cash, zawadi ni nyingi tu za kumnunuli patner wako mfano ni huu hapa:
1. Gari
2. Ipad
3. I phone/Blackberry
4. perfume za kijanja
5.Suti za kijanja kama ni wa ofisi au Dressing za ukweli kama ni Freelancer/bizzness Woman
N:K.
Si kwamba eti Mwanamke akiwa na pesa ndio kusema haitaji pesa yako, lazima ukumbuke haya ni mambo ya nature tangu Mungu alivyoumba Dunia, mkizifuata kauli mbiu za binadamu zitawapoteza sana na utashangaa msuguwa kucha na kupanga rangi kucha za wanawake anapewa uroda na mkeo kwa sababu mwenzako anaonesha kumjali mkeo na kumthamini.