mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,171
kama mwanamke ana kipato chake simpi hela hata kama mimi nimemzidi bado simpi coz ana income yake na mi nina yangu sema tu...tukiwa tuko mahali sema tunakula au tunafanya shopping nitalipia...tukienda mahali akaona kitu anapenda nitamnunulia so in short atatumia hela yangu indirectly...lakini sio nitoe wallet yangu nimwambie dada hii hela hapa chukua kaitumie hiyo sifanyi kwa sababu unaweza ukampa hela hivyo kumbe ana kibitozi pembeni ndio mwizi wako we ukiondoka wanaenda kutumia hela yako pamoja hiyo biashara sifanyi....
unamaanisha gf wako anakuuzia mbunye?Kama anakupa nanihiu mpe,akikunyimanyima mnyime. Nothing goes for nothing..
Mwaanume kumpa mke wake pesa ni lazima, kama ni gf akalale mbele simpi hata siku moja.
Mke wako hata kama unamshahara mdogo kuliko wake, ni lazima umpe pesa.
Ndo mana mimi nikisema gf simpeleki out wengine wakaniona mshamba...Mimi gf simpi pesa yangu hata siku moja.
Kama ni mke wangu achukue zote tu hata nikose za mlo sitajali, sababu ni mke wangu :A S thumbs_up:
kama mwanamke ana kipato chake simpi hela hata kama mimi nimemzidi bado simpi coz ana income yake na mi nina yangu sema tu...tukiwa tuko mahali sema tunakula au tunafanya shopping nitalipia...tukienda mahali akaona kitu anapenda nitamnunulia so in short atatumia hela yangu indirectly...lakini sio nitoe wallet yangu nimwambie dada hii hela hapa chukua kaitumie hiyo sifanyi kwa sababu unaweza ukampa hela hivyo kumbe ana kibitozi pembeni ndio mwizi wako we ukiondoka wanaenda kutumia hela yako pamoja hiyo biashara sifanyi....
Mwaanume kumpa mke wake pesa ni lazima, kama ni gf akalale mbele simpi hata siku moja.
Mke wako hata kama unamshahara mdogo kuliko wake, ni lazima umpe pesa.
Ndo mana mimi nikisema gf simpeleki out wengine wakaniona mshamba...Mimi gf simpi pesa yangu hata siku moja.
Kama ni mke wangu achukue zote tu hata nikose za mlo sitajali, sababu ni mke wangu :A S thumbs_up:
Ikiwa na gf na hana pesa, asahau kama atakuwa gf wangu :bounce:sasa fazaa ukiwa na gf halafu ukashindwa kumsaidia coz c mkeo unategemea nani amtunze?,ukitunziwaje au wewe ni mtumiaji2
kama mwanamke ana kipato chake simpi hela hata kama mimi nimemzidi bado simpi coz ana income yake na mi nina yangu sema tu...tukiwa tuko mahali sema tunakula au tunafanya shopping nitalipia...tukienda mahali akaona kitu anapenda nitamnunulia so in short atatumia hela yangu indirectly...lakini sio nitoe wallet yangu nimwambie dada hii hela hapa chukua kaitumie hiyo sifanyi kwa sababu unaweza ukampa hela hivyo kumbe ana kibitozi pembeni ndio mwizi wako we ukiondoka wanaenda kutumia hela yako pamoja hiyo biashara sifanyi....
Una bahati sana mkuu kuwapata wale wenye vijisenti tu.Ikiwa na gf na hana pesa, asahau kama atakuwa gf wangu :bounce:
Wamejaa wengi tu...sema walinikuta mimi ni mtu napenda kuoa sio kuwa na ma gf.Una bahati sana mkuu kuwapata wale wenye vijisenti tu.