Mwanaume kutematema mate ovyo ni kwamba mke/mpenzi wake anakuwa mjamzito au ni huko tumboni kumevurugika?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Kuna wanapenda sana kutematema mate ovyo hata mbele za kadamnasi.

Unakuta mtu anajikoholesha halafu anatengeneza mate mdomoni na kuyarusha 'paapu' kama nyoka aina ya cobra.

Kutema mate ovyo ni kwamba tumboni kuchafu au nini jamani? Waswahili husema ukiona mtu anatema mate ovyo ujue mkewe ana mimba..Ni kama wanakuwa wanasaidiana.

Taabu sana kwa mwanaume kutema mate ovyo. Ni aibu mno.
 
Hapa unawaongelea Wanaume wa Dar au wa Mikoani Mkuu?
 
Kuna wanapenda sana kutematema mate ovyo hata mbele za kadamnasi.

Unakuta mtu anajikoholesha halafu anatengeneza mate mdomoni na kuyarusha 'paapu' kama nyoka aina ya cobra.

Kutema mate ovyo ni kwamba tumboni kuchafu au nini jamani? Waswahili husema ukiona mtu anatema mate ovyo ujue mkewe ana mimba..Ni kama wanakuwa wanasaidiana.

Taabu sana kwa mwanaume kutema mate ovyo. Ni aibu mno.

Hakuna cha mimba wala nini hapo!

Hao huwa ni wavuta sigara, wala ugolo na vitu kama hivyo, kwa uzoefu wangu
 
Ukiondoa wamasai na wamang'ati
Huyo anaetema ovyo ana shida
 
Anashindia mahindi ndimu na pili pili + chips yai unategemea nini?
 
Hawa ni wanaume wa mikoani wanaobwia ugoro tu basi. Mwanaume handsome wa DSM hatemagi mate.
 
Back
Top Bottom