Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Kuna wanapenda sana kutematema mate ovyo hata mbele za kadamnasi.
Unakuta mtu anajikoholesha halafu anatengeneza mate mdomoni na kuyarusha 'paapu' kama nyoka aina ya cobra.
Kutema mate ovyo ni kwamba tumboni kuchafu au nini jamani? Waswahili husema ukiona mtu anatema mate ovyo ujue mkewe ana mimba..Ni kama wanakuwa wanasaidiana.
Taabu sana kwa mwanaume kutema mate ovyo. Ni aibu mno.

Mkuu hao ni wale wapenda chips.Jibu unalo tyrHapa unawaongelea Wanaume wa Dar au wa Mikoani Mkuu?