Mwanaume kutoka Hawaii alimvisha pete mpenzi wake wakiwa mlima kilauea wakati volcano ikilipuka

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Marcus Hustedde alimvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Ashley mbele ya mlipuko wa volkano huko Hawaii mwezi January mapema mwaka huu.

Storm chaser na meteorologist Marcus hustedde alishafanikiwa kupiga picha za matukio kama intense thunderstorm, bright lightening, big tornadoes na milipuko ya volkano mbalimbali.

Marcus hustedde wrote on Facebook " while taking photos of us with the volcano using timed shutter release. I turned to Ashley got down on one knee and asked her to be my wife! She said yes!".

Marcus amekulia karibu na St. Louis, Missouri pia amesomea masters degree ya atmospheric science.

Pia ni muongozaji utalii wa silver lining, kampuni inayojikita kufanya utalii wa maswala ya storm chase.



 
Mkuu nawewe upo kwenye mkumbo wa kupromoti huu uduwanzi?
 
kwahio tukusaidieje?
 
Pongezi kwao, kwa kuvishana Pete ya uchumba,nawatakia mahusiano mema, na ikawe ndoa yenye furaha na amani teleee.

Love is a beautiful thing, created by God!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…