aaha kumbe leseni yao ni kwa wote eeh?
Mtihani

jamani achaneni na huyo kiumbe anayeitwa mwanaume, hawaeleweki utampa huduma zote anazostahili, na wakati mwingine wewe ndio unamuomba mfanye lakini bado anahangaika tu. ni ushenzi tu walionao ndio maana ukimwi hauishi. mnauthi kweli nyie wanaume.
Kila mtu ana sababu zake, wengine wanatumwa na wake zao waende nje ya ndoanaomba kuiliza hivi mwanaume kwa nini anaenda nje ya ndoa na siyo na mwanamke mmoja wengi tu,na mke anampa kila kitu (starehe) na kumridhisha na kumpenda kwa dhati lakini mwanaume ndo hatulii y y y ?
Atatoka na mwishowe atarudi ndani. Wa kwanza ni wa kwanza tu!kwa hiyo hata wewe inaonekana una mwanamke nje ndio maana unaitete, muogopeni mungu nyie viumbe.
Hivi sisi wanaume hatuchoki, hatuendi jikoni, wala hatuna usingizi wala kazi eeh?Hii sometimes inakuja kutokana na ujuaji wa baadhi ya wanawake, maana akitoka kazini utasikiani nimechoka au naenda jikoni after that ooh usingizi kesho nawahi kazini. Ebooh...

Yaani wanaohangaika kutafuta wanawake /kutongozatongoza ni waume za watu why?

Yaani wanaohangaika kutafuta wanawake /kutongozatongoza ni waume za watu why?

mhh! mtatuua kwa mapresha ya kutuletea mitoto ya nje.

there is no excuse for tabia yao hii.....ukijiridhisha kweli mumeo anatembea nje,achana naye....we are living in magonjwa mengi times,one mistake one goal!,ukijilegeza tu unapelekwa kaburini......wanawake tuache kuwa emotional and economical dependants.....yes we can live without our husbands!!

I think ni kwa sababu watu hawamuogopi mungu wanafanya mambo hovyohovyo wakimcngizia shetani. Ni mapenzi ya kinafiki yametawala na ndo yanapelekea utokaji nje kwa wakristu tunaambiwa kuwa wawili mnakuwa mwili mmoja wkt wa ndoa hebu imagine kama hy ndo imani inayotakiwa ijengeke kwa wanandoa wanapata wapi nguvu ya kuumiza moyo wa mwenzi wako either akijua au acpojua kwani kama imani imewaunganisha that means his heart is ur u cannot plan 2 hurt it