Mwanaume kutokwa na uchafu mweupe sehemu za siri

elicious

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
45
Reaction score
6
Jaman tuwasaidie hawa watu hata kwa mawazo, kuna rfk yangu ana mpenzi wake kuna siku walifanya mapenzi na baada ya siku mbili mwanaume alianza kutokwa na kitu kama usaha sehemu za siri na alienda hospital akapewa dawa na dada nae alienda hospital akaambiwa atumie dawa zinazoitwa CIPROFLOXACIN. swali ni kwamba huo ni ugonjwa gani na hiyo dawa aliyoambiwa atumie ni dawa sahihi. Dada bado ana wasiwasi na afya yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…