Mwanaume kutotoa huduma yeyote katika kipindi cha ujauzito.

Hady

Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
19
Reaction score
4
Je, sheria inasemaje juu ya mwanaume anayekwepa jukumu lake la kulea mimba, lakini hapo hapo anadai kuwa mtoto akizaliwa ni mali yake na atamchukua?
Naombeni msaada kwa hili.
 
kama hukuwa na chakuchangia ni bora ungeiacha kama ilivyo!
 
Je, sheria inasemaje juu ya mwanaume anayekwepa jukumu lake la kulea mimba, lakini hapo hapo anadai kuwa mtoto akizaliwa ni mali yake na atamchukua?
Naombeni msaada kwa hili.
kama huyo mwanaume uko naye kwenye maelewano mazuri tu yaani unaona hauwezi kumharibia, msamehe tu, iyo mimba itunze mwenyewe huku ukiendelea kumbembeleza aitunze, na mtoto akizaliwa mwambie aje amtunze kirafiki tu.

lakini kama huko naye vizuri, hana future na wewe wawa wewe hauna future naye, na unateseka, huna uwezo kuitunza,...yaani kama uko katika mazingira kwamba hakuna jinsi hata kuingia naye kwenye ugomvi itakuwa ndio solution, kafungue shauri mahakamani ili imlazimishe kuitunza hiyo mimba. fungu la 43 la Sheria ya Watoto No.21 ya mwaka 2009 linaeleza pamoja na mambo mengine kuwa, mwanamke mwenye mimba anaweza kupeleka maombi mahakamani,ili mahakama iamuru mwanaume anayesadikiwa kuwa ni baba wa mimba aitunze....hii ni wakati wa mimba hata kabla mtoto hajazaliwa. kwa kukusaidia, nitakuwekea sheria ya watoto hapa kwenye attachment ili uidownload ukaisome nyumbani. lakini kabla ya hapo, bofya hapa kwanza ndio uende ukadownload...hapa SHERIA KWA KISWAHILI

View attachment 103698

VILEVILE angalia vitabu hivi SHERIA KWA KISWAHILI

View attachment 103700View attachment 103700View attachment 103700
 
Umewapa rungu!. ....
 
Umewapa rungu!. ....
ni rungu la kutosha aisee, unajuwa wakati mwingine inauma sana, uko na dada yako uliyezaliwa naye tumbo moja, mwanaume mmoja katoka zake huko anamtia mimba, dada anaharibikiwa future yake na malengo hata ya kuolewa, miezi tisa yote atakuwa anakaa bila matunzo ya kutosha pengine jamaa hatoi matunzo kabisa, ni hatari, wakati wa mimba ni wakati muhimu sana kutoa huduma zote, mfano lishe ili mtoto atakayezaliwa awe mtoto mwenye afya na akili. watoto wengi wanazaliwa tahira kwa kukosa vyakula vyenye madini na virutubisho wakiwa tumboni ndio maana kina mama wanashauriwa kula sana vyakula vyenye iodine kwa wingi etc. hivyo nafikiri sheria kuweka rungu hili, itasaidia sana dada zetu na wadogo zetu wa kike,...unajua wakati mwingine sisi wanaume tusijitetee na kuteteana sisi kwa sisi sana as if kuna ushindani kati ya wanaume na wanawake...ukisikia mwanamke ananyanyaswa, chukua picha yule binti yako aliyeko home ndo kafanywa hivyo....sisi wenye watoto wa kike naamini hata wakija kuolewa au kuwa katika balekhe tu, mioyo itatuuma sana kwasababu ya hatari za wanaume watakazokutana nazo,....SHERIA KWA KISWAHILI
 
maybe ni rungu but kama unasoma vizuri hiyo sheria inahusu matunzo ya mtoto ambayo mama anaweza kuyaclaim akiwa mimba na sio matunzo ya mimba s43(a) lengo hasa ni kumake sure majukumu ya mzaz hayakimbiwi mtoto anapozaliwa...
 
Nashukuru sana kwa mwongozo, ninalifanyia kazi suala hili.
 
Sheria isimamiwe, siyo sheria isimamie watu. Sheria itakapo simamiwa kila m2 atakaa kwenye mstari!
 
Pia watu tumejitenga sana na Mungu hivyo hofu ya Mungu haipo kabisa, embu tujitahidi kusali. maana kuwa na hofu ya MUNGU inasaidia hata kuwa na moyo wa imani hivyo lazima uwe na huruma kwa mwenzi wako na kijacho.
 
Back
Top Bottom