Mwanaume kutumia haya maneno

Mwanaume kutumia haya maneno

kitalembwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
3,607
Reaction score
9,430
As usual,Ni siku nyingine,, Blue Monday,,,, !!!

Haya Ni maneno ambayo mwanaume huwezi kumuandikia mwanaume mwenzio,,,, kubwa la maadui ni ;
"make Apo kwanza nicheke""" dah

Mara "Mambo" , "nimekumiss", "jamani" ,, "jomoon" ,, "plz"" n.k

#sensabika
 
Kuna wemgine utawasikia wakisemanile misemo "yaan amedamshi ATALIIIIII ATALIiIII "
 
As usual,Ni siku nyingine,, Blue Monday,,,, !!!

Haya Ni maneno ambayo mwanaume huwezi kumuandikia mwanaume mwenzio,,,, kubwa la maadui ni ;
"make Apo kwanza nicheke""" dah

Mara "Mambo" , "nimekumiss", "jamani" ,, "jomoon" ,, "plz"" n.k

#sensabika
Hii tulishaizungumza, leta kitu kipya
 
Mwanaume kucheka Kwa emoji hizi [emoji23][emoji1787] hili nalo ni tatizo kubwaa..mwanaume anacheka [emoji28] Hadi unatoa jasho

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Dume zima ukoo wenu unakuangalia kama mwokozi na kiongozi unanyanya lips za kinywa unasema sensabika,

Hilo neno limekaa kike na kimlegezo kuliko hayo yote uliyoorodhesha
 
As a man utakiwi kuandika thread ya kike kama hii
 
Back
Top Bottom