kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Kuna wemgine utawasikia wakisemanile misemo "yaan amedamshi ATALIIIIII ATALIiIII "As usual,Ni siku nyingine,, Blue Monday,,,, !!!
Haya Ni maneno ambayo mwanaume huwezi kumuandikia mwanaume mwenzio,,,, kubwa la maadui ni ;
"make Apo kwanza nicheke""" dah
Mara "Mambo" , "nimekumiss", "jamani" ,, "jomoon" ,, "plz"" n.k
#sensabika
Hii tulishaizungumza, leta kitu kipyaAs usual,Ni siku nyingine,, Blue Monday,,,, !!!
Haya Ni maneno ambayo mwanaume huwezi kumuandikia mwanaume mwenzio,,,, kubwa la maadui ni ;
"make Apo kwanza nicheke""" dah
Mara "Mambo" , "nimekumiss", "jamani" ,, "jomoon" ,, "plz"" n.k
#sensabika
hapa ndiyo umeharibu#sensabika
[emoji28][emoji28][emoji28]hapa ndiyo umeharibu
Dume zima ukoo wenu unakuangalia kama mwokozi na kiongozi unanyanya lips za kinywa unasema sensabika,Mwanaume kucheka Kwa emoji hizi [emoji23][emoji1787] hili nalo ni tatizo kubwaa..mwanaume anacheka [emoji28] Hadi unatoa jasho
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona hili ni shmbulizi la kimtandao kbs..Mimi ndy nimesema sensabika? 😅Dume zima ukoo wenu unakuangalia kama mwokozi na kiongozi unanyanya lips za kinywa unasema sensabika,
Hilo neno limekaa kike na kimlegezo kuliko hayo yote uliyoorodhesha
Ni aibu Sana mkuu.kwanini mwanume unasema “Blue Monday”
pole sana, mashemeji wa mijini hawaaminiki, kupindua gari ni dakika sifuri.!!Mwanaume kuwaita wanawake anaowajua mostly of the time "shem shem" naonaga pia ni ushenzi pia