Mwanaume kutumika kingono

Mwanaume kutumika kingono

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
861
Reaction score
1,476
Swali wakuu,

Je, mwanaume anaweza kutumiwa kingono na msichana? Kuna msichana mmoja ambaye kila mawasiliano ni kuhusu mambo ya ngono tu, hana mada nyingine.

Kila nikijaribu kubadilisha mazungumzo, anakataa, akisisitiza kwamba anataka kuzungumza tu kuhusu mambo ya ngono. Huyu ni mtu mwenye heshima katika jamii.

Kijana wa kiume alishughulika naye vizuri hadi akawa na ufahamu wa kile kinachoendelea, na sasa mada hiyo ya ngono ndiyo imekuwa msingi wa mahusiano yao.
 
Ndio anatumuka vizuri tu ndo maana kuna ben ten kibao na mario wa kutosha
 
anatumika vizuri, ila kama hana kazi ya kufanya maana ukiwa na kazi ngono ni extra
 
Back
Top Bottom