Mwanaume kuvaa "kikuku" inaashriria nini?



Mwanaume kuvaa "kikuku" inaashriria nini?? inaashiria huyo mwanamme ni shoga
 
sweetbaby huishi ?. hivo ilikuwaje kuwaje ukapelelza kiasi hicho?. Unamuangalia tangu juu mpaka ... heee?.
Nakujulisha tu wapemba hawana tabia hiyo. Wapemba kawaangalie kariakoo wanafanya nini. wao na wachaga ni biashara tu.
 
Jamani dhana ni mbaya haifai mtu kumdhania mtu mambo maovu kwa mfano angalia hii picha kwa nyiyi mnao ishi nje ya TZ mambo kama haya huko hutafsiriwa vingene, sasa na huyo aliyevaa hicho kidude mguuni inawezekana anakotoka ni jambo la kawaida na hapa Tz tunatafsiri vingine,kwani hata bodylanguage yao inakupa muhafiliko ,lakini kusema hiyo haina maana hawa viongozi wetu ni miongoni mwa kundi lile linalotetewa na wazungu.
 

Attachments

  • God Bless them.JPG
    45.4 KB · Views: 370
Attorney general (AG) wa kenya naye anavaa hereni kama kawaida acha kuhema wewe
 
Amevurugwa huyo bado kidogo atavaa na gauni.
 
Mwanamke akivaa hivyo anamaanisha double line, yaani voda na ule mtandao wa wajanja. Ila kwa mwanaume mh!
 
kama alivaa kikuku ujue lazima jamaa huyo ni mfugaji mzuri wa kuku sasa yeye mwenyewe ndo bango la biashara kwani hatozwi ushuru wa matangazo kwani mwili wake ndo chombo cha matangazo.
 
POPOTE utakapoona mtu(mke/mume) amevaa kikuku mguuni maana yake ni kuwa ''OFFICE YA TIGO IPO WAZI'' kama unabisha mtest uone kama hajakupa.
 
Huyo ni punga chele wala haina mjadala
 
Wapigwe tuuuuuuuuuuuu!!!!!tehe tehe tehe
 

sii sawa kabisa.
 
Siku moja nilikua Nyuma ya vijana wawili wameshikana mikono nikiwa najiuliza Vipi hii,ghafla tumesimama kwenye trafik light wakakumbatiana na kupigana denda reeefu kwa mapenzi kabisa.ilibidi nitoke mbio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…