Mwanaume kuvaa "kikuku" inaashriria nini?

Kama kavaa ki kuku lazima nae atakuwa ni kuku !!
 
Watavaa mpk shanga za kiuno, mana.wameanza na vidani, hereni 1, zikaja 2, vikuku vya mikono, kusuka nywele, vipini vya pua. Sasa na vikuku vya miguu tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…