Mwanaume kuvaa shanga, hii imekaaje wadau?

Mwanaume kuvaa shanga, hii imekaaje wadau?

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Nilikuwa nimesiti zangu sehemu fulani hapa katikati ya jiji. Pembeni yangu kulikuwa na majamaa wawili walikuwa wamekaa pia sasa mmoja nikasikia anamuuliza mwenzake kwamba "vipi mbona unavaa shanga", nikawa nimetulia zangu kimya nikiwasikiliza kwa makini hasahasa nisikie jibu atakalolitoa.

Yule jamaa akamjibu kama ifuatavyo, nanukuu "" mie navaa shanga kwa sababu mademu wanapenda sana mwanaume aliyevaa shanga yaani wanavutiwa sana na wanakuwa na hisia nzito kwenye suala zima la mnyanduano"" .hakuishia hapo akawa anamuelezea kwamba "" unajua bhana hawa watoto wa kike wanapendaga tuvitu vidogodogo sana sasa mie nishawajulia navaaga hii nikishamla anakwenda kuwahadithia wenzake na wao wanajilengesha nawala vilevile so huu ni kama mtego"". kwa maelezo hayo yule mwenzake alionekana kukubali na aliahidi na yeye kuanza kuvaa ili awatege manzi.

Sasa je wadau imekaaje hii ? maana mie nilikuwa sijui kwamba ukivaa shanga mademu wanapenda..kuna ukweli wowote kuhusu hili?
 
Sisi wanaume wakimasai tunavaa shanga tu kama kawaida na zile pete za vidoleni mguuni bila kusumbuliwa na mtu.
 
Hii story najua ulipoitoa ila tuache hilo.

Inategemea na tamaduni zake.
Ila huyo......ni wali mchuzi.
 
Inawezekana ni kweli maana nilishawahi kusikia habari zamani kidogo. Ni jamaa aliyekuwa anajifanya bwabwa mbele ya mabinti na hadi kuvaa shanga, hivyo mabinti wakawa wanavutiwa nae kama shoga yao na kujenga ukaribu! Mwisho wa siku akawanyandua wengi sana!!
 
Isije kuwa Ni wewe mwenyewe ndo unavaaga shanga
Sorry brow nakutania tu
 
Back
Top Bottom