Mwanaume kuwa addicted na hili utamsaidiaje?

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
David ana umri miaka 29 sasa anategemea kufunga ndoa siku za karibuni na mpenzi wake,toka alipobalehe alikuwa akipiga punyeto kukidhi tamaa zake za mwili pale anapokosa mpenzi mpaka kufikia umri huo,pamoja na kuwa na mpenzi wake wa sasa pale alipokuwa akipata hamu alikuwa akipiga punyeto bado..sasa anahitaji kuacha na kusahahu kabisa ili aingie kwenye ndoa yake akiwa akijiamini na kama mwanaume sahahii unamsahaurije?
 
Mhh kazi anayo ngoja wajee madactari wengine makuli hapa acha tuwasubili wataalam..
 
david anatakiwa awe anajenga hoja nzito nzito za kimapenzi wakati akifanya mapenzi
 
LAT hoja nzito nzito kama zipi hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…