Habar zenu wana JF. kumekuwa kuna tatizo linalomkabili rafik yangu.kwamba kila anapokutana kimwili na mpenz wake amekuwa akiwashwa sana sehem za mgongo na kifuan. hivyo amekuwa akipata michubuko inayomletea maumivu nyakati za kuoga. nimshauri afanyaje ili aendelee kulifaidi tendo hilo na mpenz wake? natanguliza shukran za dhat kwenu..
Sioni tatizo la kitaalam linaloweza kusababisha Hali hiyo.
Kwanza ana uhAkika Sababu ni hiyo?
Kwa haraka mshauri ajaribu Mitindo mingine ya kutiana - kwa mfano Kama anahisi Sababu ni kugusana ngozi kwa ngozi; mwambie apunguze contacts wakati wa mapenzi- doggystyle AMA styles zingine ambazo contact inakuwa ni genitals tu!
Lakini ni vizuri akie da hospital aweza kuwa na tatizo ambalo halihusiani na kujamiiana na mpenzi wake.
kuna sababu nyingine zaweza kuwa za kitaalamu zaidi
mi nashauri akamuone mtaalamu wa magonjwa ya ngozi
yawekana ni viji allergy vya may girlfriend wake.
Hebu tujaribu kuheshimu kazi za watanzania wenzetu, si vyema kumwita huyu ndugu ni tapeli hata kama huamini anachotenda. Je wewe hiyo kazi yako siyo ya kitapeli?. Si rahisi kama wewe unavyofikiria, anzisha yako ya kitapeli..!