mwanaume(maalim,ustaz,mufti,shehe,maulama) mwanamke(je?)

mwanaume(maalim,ustaz,mufti,shehe,maulama) mwanamke(je?)

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
utakuta mwanaume anaitwa shehe ali, au ustaz ali, au maalim seif.


je mwanaidi atapewa kiambatanishi gani?

hapo naomba kueleweshwa tu.

sina ubaya.
 
utakuta mwanaume anaitwa shehe ali, au ustaz ali, au maalim seif.


je mwanaidi atapewa kiambatanishi gani?

hapo naomba kueleweshwa tu.
sina ubaya.
Ustaadhat...
Ila MS anaweza ku clarify,ila hii imekaa kidin din vile....
Thread closed
By Bramo
 
utakuta mwanaume anaitwa shehe ali, au ustaz ali, au maalim seif.


je mwanaidi atapewa kiambatanishi gani?

hapo naomba kueleweshwa tu.

Kama ni Mwanaidi anaweza kuitwa USTAADHAT MWanaidi,
SHEIKHA MWanaidi
Mualima Mwanaidi[/COLOR]
 
naona hii ihamishiwe jukwaa la dini mara moja
 
Hii inaingiaje katika Jukwaa la siasa? Tushachoka sasa. Kila kitu siasa.
 
Jerusalem, umemaliza homework zako zote? Basi nenda ukalale.............
 
nini tena hii jukwaa la siasa
mod please ondoa huu upupu hapa
 
mfano kwa mwanamke ambae jina lake ni jerusalem ataitwa ustaadhat jerusalem
sheikha jerusalem au maalima jerusalem na akiwa ameenda kuhiji ataitwa haajat jerusalem
 
How come hii ikawa ni siasa?, ungepeleka kwenye jukwaa la lugha ungepata michango mizuri sana kuhusu kiswahili
 
Back
Top Bottom