Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Ustaadhat...utakuta mwanaume anaitwa shehe ali, au ustaz ali, au maalim seif.
je mwanaidi atapewa kiambatanishi gani?
hapo naomba kueleweshwa tu.
sina ubaya.
utakuta mwanaume anaitwa shehe ali, au ustaz ali, au maalim seif.
je mwanaidi atapewa kiambatanishi gani?
hapo naomba kueleweshwa tu.