wewe utakuwa sio mbunifu, maana y ubunifu ni uwezo wa kuleta kitu kipya, kinapo hitajika.
I know lakini mwisho wa siku even the expecting the unexpected inakuwa expected... ubunifu unafaa kwenye mahusiano lakini sio kama dawa ya wewe ukifanya kosa...., Ladies are wiser than that..., they need appreciation na sio danganya toto
Kwani ubunifu gani tunaongelea, hata kuomba msamaha pia kuna hitaji ubunifu na utundu kidogo. Wangapi wameomba msamaha wamegonga mwamba??.labda umelewa nini hapa kwenye hili thred, labda nimekosea to present ze maada.
Nimekuelewa mkuu lakini ukikosa ukawa genuine umejuta na kuonyesha kwamba umejirudi ni rahisi kumfurahisha mwenza kuliko kuleta usanii wa hapa na pale it might work for some time but in the long run atajua usanii wako
Mh..mi wa kwangu hata achukie vp dawa ni kubebwa tu,nikimbeba kutoka chumbani mpaka sitting room then kumrudusha tena chumbani tayari napata tabasamu la ukweli..
Kweli ni ubunifu tu, inabidi uwe kama mjasiriamali vile...
Ni kweli usemayo.. lakini kuna msemo "Once bitten Twice Shy"... watu hususan wanawake ni rahisi kusamehe lakini hawasahau, wanaweza wakacheka wakafurahia lakini rohoni mwao ukaacha kidonda ambacho hakitapona na wewe kuendelea kumkosea ni kukitonesha kidonda hicho sasa ubunifu wako ni kama painkillers itafika wakati atakuwa chronic hata umpige sindano ya ganzi haitasaidia...., ila ukiwa genuine kwamba umekosea kwa bahati mbaya thats okay, au ni vizuri uwe mbunifu hata kabla haujakosa unless ukimpa zawadi atajua kuna kitu umefanyahahahaha, sio usani. hata kama nienda kumnunulia NADIA ya mheshiiwa nkozkas, nitatafuta namana ya kulifanya tukio liburudishe roho yake. Au hata ukimletea kakitenge fanya utundu kidogo, atafuraj=hia kuliko kumwambie chukua kitenge hapo juu ya meza. Ubunifu ninao zungumzia hapa sio uwongo na kucheza na akili za mtu, ni ule wa kufanya kitu kipendeze. Ndio maana katika picha jamaa alificha maua, angeyaleta na yeye anayaona angeya tupa kabisa.
Ni kweli usemayo.. lakini kuna msemo "Once bitten Twice Shy"... watu hususan wanawake ni rahisi kusamehe lakini hawasahau, wanaweza wakacheka wakafurahia lakini rohoni mwao ukaacha kidonda ambacho hakitapona na wewe kuendelea kumkosea ni kukitonesha kidonda hicho sasa ubunifu wako ni kama painkillers itafika wakati atakuwa chronic hata umpige sindano ya ganzi haitasaidia...., ila ukiwa genuine kwamba umekosea kwa bahati mbaya thats okay, au ni vizuri uwe mbunifu hata kabla haujakosa unless ukimpa zawadi atajua kuna kitu umefanya
.
KAMA UMEKOSANA NA MKEO, AU GIRL FRIEND USIUMIZE KICHWA. WANAWAKE NI WEPESI KUJIRUDI KULIKO UNAVYO DHNANI, UBINIFU WAKO TUU NDOO UTAKUFANYA AKUFURAHIE TENA. HAKUNA KITU KIZURI WANACHO PENDA WANAWAKE KAMA MWANAMUME MTUNDU NA MBUNIFU.
HATA AKINUNA , HAPA KITAELEWEKA TUU.
Sasa nimekuelewa. sizungumzii makosa ya makusudi. nazungumzia wanaume wanao fanya bidid kuishi na wake zao. Hata kutokukosea inabidi uwe mbunifu. akikumbuka vile vituko vyako basi anaghairi. umemsikia sfm hapo juu yeye kazi yake ni kumbeba mke wake. sasa akikumbuka kule kubbwa kulivyo kutamu, kununa kutakuwa hasara kwake so, ubunifu ni mtaji kaka.
.Kumbe unasema hizo issue za kujikwaa za kila siku... hayo mambo madogo, madogo hayana neno... haya ni ya kuombana msamaha na kusamehana wote wawili, ni majukumu yenu.
Mimi am talking about kukosa kweli... sio petty arguments..., za umesahau kuinua choo au umeacha bafu chafu..., au umebonyeza colgate upande mbaya.....
Hapo mkuu umenikumbusha kisa changu na wangu wa zamani,kuna siku nilikuja na maua kumuomba msamaha baada ya yeye kunifumania,basi we...!!Kama nisingekuwa na mbio siku hiyo sijui ingekuwaje,maana yale maua ndio alianza kunitandika nayo,kisha zikafuata sahani kwa kuwa nilimkuta jikoni nilipotoka nje kukimbia nikasindikizwa na mawe,ilinibidi nikimbilie ukweni kwenda kuomba msaada wa kuombewa msamaha.
Mh..mi wa kwangu hata achukie vp dawa ni kubebwa tu,nikimbeba kutoka chumbani mpaka sitting room then kumrudusha tena chumbani tayari napata tabasamu la ukweli..
Kweli ni ubunifu tu, inabidi uwe kama mjasiriamali vile...