proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Mnaruhusiwa.Sisi wanaume warefu tunaruhusiwa kuchangia hapa?
Hapo ujue mwanaume kapendwa hasaaa.Ni story tu hizo tu ila wapo wanaoolewa na ma andunje na unakuta mwanamke ni mrefu like twiga
Hapo nafuuUmri tu unawazuzua ngoja waanze kuchoka halafu mume hawamwoni wa kumuoa kati ya hao warefu anaowataka. Atatamani aolewe hata na mbilikimo asitirike tu
Hapo nafuuUmri tu unawazuzua ngoja waanze kuchoka halafu mume hawamwoni wa kumuoa kati ya hao warefu anaowataka. Atatamani aolewe hata na mbilikimo asitirike tu
Kweli mkuuTafuta pesa tu mkuu
Ndo ivyo best maana haya mambo hayaelewekiHapo ujue mwanaume kapendwa hasaaa.
Acha uchokoziMwanamke mfupi anajua kupenda balaa, na wana mapenzi ya kweli
Halafu mwanamke mfupi akivaa gauni jekundu utadhani mtungi wa gesi wa ORYX........
Acha uchokozi
Sio pesa?Hapo ujue mwanaume kapendwa hasaaa.
Kweli mkuuMkuu ukiwa mfupi saka hela tu..utawapata aina zote...cheki kimo cha mzee mengi lakini amemuoa Jacqueline
HahahahaMwanamke mfupi anajua kupenda balaa, na wana mapenzi ya kweli
Halafu mwanamke mfupi akivaa gauni jekundu utadhani mtungi wa gesi wa ORYX........