Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

Mimi ni mfupi, feet 5.1 nina binti mrefu, ananipenda na matarajio yetu ni kuoana. Amenifanya niwe mwenye ujasiri. Upendo hauangalii, kimo au umri, ni kumpata tu mtu sahihi kwako. I can stress her, she can come down, sina hela, bado nina hustle but she encourages me na nafurahia kuwa katika mahusiano nae. So i will marry a tall Lady regardless my small height.
 
kwa nini mnakataliwa sasa? kwani hata mtwangio mfupi? au mna gubu? na vitabia vya ajabuajabu?
 

Inaonekana unafurahi kuwa na tall girl friend, vipi hata wewe hupendi mfupi mwenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…