proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
- Thread starter
-
- #101
Hicho kiingeresa sasa da explainMimi ni mfupi, feet 5.1 nina binti mrefu, ananipenda na matarajio yetu ni kuoana. Amenifanya niwe mwenye ujasiri. Upendo hauangalii, kimo au umri, ni kumpata tu mtu sahihi kwako. I can stress her, she can come down, sina hela, bado nina hustle but she encourages me na nafurahia kuwa katika mahusiano nae. So i will marry a tall Lady regardless my small height.
Nimesema tu
Au we ni mrefu?kwa nini mnakataliwa sasa? kwani hata mtwangio mfupi? au mna gubu? na vitabia vya ajabuajabu?
Daa twaanzishe sub forum ya kishaka we tusengete vashaka voose au waamba kutraEhe lau ini ni wa useri
Wapo mpaka sabaSisi wenye 6.2 ft kwani na sisi tunahitajika kwenye hii thread ?
Maxence Melo kakuishua alinnde mbarah! [emoji23] [emoji23]Daa twaanzishe sub forum ya kishaka we tusengete vashaka voose au waamba kutra
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Daa eishiamba ni ukabila onaMaxence Melo kakuishua alinnde mbarah! [emoji23] [emoji23]
Daa hongera yenuKwetu mimi ndio mfupi . Yupo bro ana 6.4 .
IyeeDaa eishiamba ni ukabila ona
Mkuu haustahili huyo dem. Lazma nije nikuibie. Ya warefu waachie warefu wewe kula mbegu fup wenzakoMimi ni mfupi, feet 5.1 nina binti mrefu, ananipenda na matarajio yetu ni kuoana. Amenifanya niwe mwenye ujasiri. Upendo hauangalii, kimo au umri, ni kumpata tu mtu sahihi kwako. I can stress her, she can come down, sina hela, bado nina hustle but she encourages me na nafurahia kuwa katika mahusiano nae. So i will marry a tall Lady regardless my small height.
[emoji86] [emoji86]Ufupi huo ni wa vipi?? wa tausi muigizaji?? Au
Kweli aiseNAOGOPA KUKUFURU KWA MUNGU.. wote ni BINADAMU awe mfupi awe mrefu.. safi tu..
Nipe tunda kwanza nithibitishe maana nasikia siku hizi hadi Bongo kuna mashemale [emoji14]Ngoja nifanye vituko kwa huyu Baba chanja..nione kama kweli kesho asubuhi utanioa
Kwa hio unataka wote au....Mkuu haustahili huyo dem. Lazma nije nikuibie. Ya warefu waachie warefu wewe kula mbegu fup wenzako
God anakuonaMkuu haustahili huyo dem. Lazma nije nikuibie. Ya warefu waachie warefu wewe kula mbegu fup wenzako