Ndoa is all about furaha yao, so hapa wanaona uzushi tu
Eeh wenyewe mara nyingi furaha yao wanashare nje sio na wake zaoAsee!, kazi ipo Basi.
Kuna mtu alisemaga eti ukiona Me na Ke kwenye gari wamekaa ki couple halafu wanafurahiana ujue ni mtu na mcheps, na ukiona hivyo lakini kila mtu kanuna ujue ni mke na mume..lol!
Na mara nyingi kama Me kwenye mahusiano ndio hana furaha basi hata sisi tunakuwa hivyo hivyo.
Eeh wenyewe mara nyingi furaha yao wanashare nje sio na wake zao
Ila ndo madai yao uzi hawauoniSi ndo hapo sasa. Afadhali Jose anawapa somo hapa na tabasamu la milele.
Ila ndo madai yao uzi hawauoni
Na dada yako kasie mko vizuri
Lazima kuna tatizo sio bureTena nondo haswa, nili miss.
Kuna kitu niligundua juzi kati hapa, kuna wanaume wanakuwa watu wazuri na wema kwa watu wa nje lakini si kwa wapenzi wao inashangaza sana kwa kweli. Halafu mara nyingi unakuta hawataki kuwaacha and at the same time wana wa treat like sh*t. Mtu kama umemchoka si mwache aende!
Nimependa sana hii ya kumpa mkeo tabasamu kama ulilompa siku ya harusi mbele ya umati.
Haja wowa@joseverest
Aisee!Hivi mkuu haujatamani kuanza kucomment mwenyewe baada ya kumaliza kuandika uzi?
[emoji8][emoji7] thanks Dear[emoji8]
[emoji122][emoji122][emoji122]
wajeeee
True kabisaNatumai watauzingatia ushauri huu mzuri
Pamoja manTumekusikia
[emoji122][emoji122][emoji122]Good good my sistaTena nondo haswa, nili miss.
Kuna kitu niligundua juzi kati hapa, kuna wanaume wanakuwa watu wazuri na wema kwa watu wa nje lakini si kwa wapenzi wao inashangaza sana kwa kweli. Halafu mara nyingi unakuta hawataki kuwaacha and at the same time wana wa treat like sh*t. Mtu kama umemchoka si mwache aende!
Nimependa sana hii ya kumpa mkeo tabasamu kama ulilompa siku ya harusi mbele ya umati.
Pamoja sana wakuu..tuzingatieUmenena mkuu
Well said bro
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Haja wowa@joseverest
AhahahahaHuwa anampa tabasamu kama hilo hapo kwenye avatar yako![emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app