Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
- Thread starter
-
- #61
Ahahaha wachache wameuoana na wana appreciateUngekuwa uzi wa kuhusu kuwapa furaha wanaume wangejazana hapa na ubinafsi wao. Huu wa kuwapa furaha wake zao kama hawauoni vile teh
Ahahaha sio kila siku kuwaongelea vibaya siku nyingine tunawasifia [emoji56][emoji56][emoji56]Haha, si unaona hapo juu wala hawaelewi kama wanaweza changia au no.
Sijui ni kuonyesha hawana zuri la kuwaongelea wanawake?
Sawasawa kabisa mhengaBandiko maridhawa kabisa hili hakika we ni mhenga Joseverest
Muhimu ni ukiwa na upendo wa dhati hakika hutaona shida kumpa mke wako tabasamu la kweli...wanatuvumilia mengi kwa kweli...
[emoji23][emoji23][emoji23]auntie bana mume ukuje huku jaman unaitwa na mukweoMuite mkwe nae aelewe.