Mwanaume mwenzangu, soma haya kuyaokoa maisha yako

Booooonge la comment nimeipenda na umeandika kweli tupu
 
Ni kweli jamaa nimekukubali mawazo yako hata mimi napitia magumu kama hayo hayo kwa sababu anajua mimi sina mwingine zaidi yake. Ashaniambia eti mimi ni mgumu kama jiwe la mtoni
 
Hoping for the best but expecting the worst.
 
1.Kuna tatizo kubwa sana ukimpenda sana mwanamke naye akajua kweli napendwa pekee.
Ni wachache watakaojiheshimu na kuwaza mema.

2. Usitumie pesa kulijenga penzi au kununua upendo. Utakapoishiwa utaumizwa mno.

3. Tumia AKILI kuliendesha na kuliendeleza PENZI, usitumie penzi kuendesha akili.

4.Ukimpata anayekufaa kwa hali yoyote, anza kuishi naye kabisa usije ukamkosa baadae.
 
😀😀😀😀😀
 
100%..!!
 
ili kupoteza mawazo WAZA siku SIMBA na YANGA wakikutana fainali nani anashindaaa...AU chelsea na liverpool au Msondongoma na Kwaito
 

Mkuu tupe mwongozo wa hiyo saikolojia tunaisomea wapi??
 
Ishi kwa kumtegemea Mungu,kumtumikia,kumsujudia na kumtii utakuwa na furaha na amani maisha yako yote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…