Mwanaume mwenzio anapokutumia msg akisema I LOVE YOU,..unamuelewaje?

nadhani umewahi sana kuomba ushauri ila sina uhakika kama ulimuuliza sababu ya kukutumiwa hiyo msg maana yawezekana amekosea hukuwa mlengwa ila najiuliza kwa nini umedhani wewe ni mlengwa ???
 
Kilichonikimbiza facebook ni huu ujinga huu wa mwanaume anaanza kulike picha zako. Mara anakutumia msg au chat anakuambia u r handsome mara hot mara u look sexy wakati ni mwanaume. Ahhh nikaona huku siko kusifiwa na wanaume au kutamaniwa na wanaume ni soo bora njiondoe tuu mapema. Na pale ni picha tuu wala hawajui kama hizo pocha ni zako au za kuazima.
Ahh huu uzungu huu ni soo k
 
pole mkuu facebook hakuna maana kwa sasa
 
Mseenge(shoga), huyo.

Achana naye.
 
kama nawe wampenda mwambie I love you too"
kama humpendi mweleze pia ... (au uchune tu ka hutaki kumuumiza)
 
WANAUME WA UKWELI SIKU HIZI NI HABA SANA.
Unawezadhani umeolewa na dume kumbe ni jike mwenzio! Ngumu sana aisee.
 
kabisa mkuu
hakuna maana kabisa na waache masharobaro waeendelee kuuza sura kule

huko siku hizi ni vituko mara mtu anaguna watu wanacomment ... ah mara mtu anakuadd dk 3 nyingi anaomba contact oooh we HB mara nini mara nipe offer ya beer aaaah
 
huko siku hizi ni vituko mara mtu anaguna watu wanacomment ... ah mara mtu anakuadd dk 3 nyingi anaomba contact oooh we HB mara nini mara nipe offer ya beer aaaah

na maombi ya vocha nitumie credit na ukimpa no ya simu ndo umelogwa utapata beep za kufa mtu mpaka usiku wa manane
 
na maombi ya vocha nitumie credit na ukimpa no ya simu ndo umelogwa utapata beep za kufa mtu mpaka usiku wa manane

hahaha kule kumejaa mizinga tupu na wizi wa wazi wazi
 
hahaha kule kumejaa mizinga tupu na wizi wa wazi wazi

Na wanafanya hayo bila hata kukuona sura yako wala kujua kwa uhalisi kama zile picha ni za kwako au ni za watu
Uzushi mwingi na nafikiri muda wote wanajua member wa pale yuko kusaka mwanamke
 
Na wanafanya hayo bila hata kukuona sura yako wala kujua kwa uhalisi kama zile picha ni za kwako au ni za watu
Uzushi mwingi na nafikiri muda wote wanajua member wa pale yuko kusaka mwanamke

hahaha maana unaweza kumkutanisha hata na fisi maana wamekuwa waroho... mara vocha ya kuchat kwenye fb imeisha nitumie nijiunge kwani ni lazima ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…