Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochot

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
*Mwanaume_ni_nani...!!!?*

Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochote...!!

Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke aliyemfumania kisha akaoa mwanamke aliyeachwa kwa kosa la kufumaniwa...!!

Najua ipo humu ila nimependa hiyo mistari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu ww ni mwanaume?
 
Usipende kutumia neno 'mwanaume' au 'wanaume' kwenye maelezo yako, japo wote ni binadamu lakini tumetofautiana attitude na akili, tumia neno "baadhi ya wanaume" sio wanaume,
 
Mwanaume anaweza kumnyima mwanae Wa kumzaa ada ya shule, akaenda kusomesha watoto watano Wa mwanamme mwingine kwa mchepuko wake
Yaani kawaida sana hiyo kitu nyumbani Dagaa kwa mchepuko Sato
 
Anaweza asitoe hela ya matumizi kwa familia yake nyumbani akaenda kuihudumia familia ya mchepuko wake kwa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…