Mwanaume ni nani? Hebu fuatana na Mimi mpaka mwisho!

Mwanaume ni nani? Hebu fuatana na Mimi mpaka mwisho!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
Mwanaume_ni_nani...!!!?

1 Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochote...!!

2 Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke aliyemfumania kisha akaoa mwanamke aliyeachwa kwa kosa la kufumaniwa...!!

3 Mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake halali kabisa kisha akasingiziwa mtoto wa mwanaume mwingine na akakubali...!!!

4 Mwanaume ni kiumbe cha pekee ambaye anatafuta hela kwa jasho na nguvu kwa ajili ya mwanamke...!!!

5 Mwanaume ni kiumbe cha pekee ambaye anaweza kujiua kisa tu amekataliwa na mwanamke..!!

6 Mwanaume anaweza kupanga mipango kichwani, ambayo inaweza kudumu kichwani mwake hata miaka kumi...!!

7 Mwanaume yupo radhi hata kulala na njaa, ili mladi tu atimize adhima yake...!

8 Mwanaume kweli ni wa ajabu sana, anaweza kufuta kwenye kiti anachotaka kukaa, ilihali boxer aliyovaa hajaifua wiki 2..!!

9 Mwanaume anaweza akawa na wanawake hata 3, lakini mkewe wa ndoa asijue hata siku moja..!!

10 Mwanaume anaweza kuishi na mke wa ndoa zaidi ya miaka kumi Wakiwa wamepanga, lakini ana hawara amemjengea nyumba safi kabisa..!!

11 Mwanaume anaweza kuwa na heshima nchi nzima, mkoa mzima, Mtaani kote, lakini nyumbani kwa mkewe, anaonekana boya kabisa, na deki anapigishwa, na vyombo anaosha..!!

12 Mwanaume anaweza chuma mali na mkewe, na mwisho akamwachia mkewe zote, Na akaanza upya...!!

13 Mwanaume anaweza akawa na kazi nzuri lakini akawa anaishi kwa mwanamke akamjengea, akamfungulia biashara, ila akifukuzwa tu kazi anakosa pa kuishi na mwanamke nae anamfukuza....!!!

14 Kama hujui mwanaume akili yake inawaza mapenzi kwa asimilia kubwa kuliko mwanamke...!!!

15 Kama hujui pia wanaume wengi wanateseka kwenye mahusiano lakini wanajifariji kwenye pombe...!!

Ndio maana wanakufa mapema..!![emoji2986]
IMG-20221021-WA0110.jpg
IMG-20221020-WA0030.jpg
 
Nasoma NARUDIA nasoma NARUDIA. Yani nashindwa kuelewa.

ila kama Kuna kajiukaeli flani Hivi japo ni kachungu....!!!!!

Umenivuruga Sana......
 
Maisha yamebadilika nyie mliokua mnatelekeza familia kisa wali nazi wa Tanga zama zenu zimeisha, kizazi jeuri hatukerembeshwi na nyapu😅
 
Mwanaume_ni_nani...!!!?

1 Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochote...!!

2 Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke aliyemfumania kisha akaoa mwanamke aliyeachwa kwa kosa la
Daah sisi wanaume,tumeumbwa ajabu sana,brother kamuachia mke wake kila kitu,kaondoka na
nguo zake tu,mimi nilikuwa na wanawake nnje wengi sana ila hata siku moja sikuwahi kumdharau mke wangu,naparangana sana mpaka nashindwa kununua nguo lakini mke wangu anabadilisha madera kila kukicha,usiku sipati usingizi nawaza maisha lakini mke wangu anakoroma hata ashituki,na daiwa madeni mtaani lakini mke wangu anataka ela ya kubadilisha nywele,kupaka kucha rangi.

Sisi wanaume tunakufa mapema sana,tunawaacha hao wanawake na mali kibao,kazi yao sasa ni kutumbua na wanaume wengine,sisi wanaume tutaenda mbinguni kabisa
 
Daah sisi wanaume,tumeumbwa ajabu sana,brother kamuachia mke.wake.kila kitu,kapndoka na.
nguo zake tu,mimi nilikuwa na wanawake nnje wengi sana ila hata siku moja sikuwahi kumdharau mke wangu,naparangana sana mpaka nashindwa kununua nguo lakini mke wangu anabadilosha madera kila kukicha,usiku sipati usingizi nawaza maisha lakini mke wangu anakoroma hata ashituki,na daiwa madeni mtaani lakini mke wangu anataka ela ya kubadilisha nywele,kupaka kucha rangi..
Sisi wanaume tunakufa mapema sana,tunawaacha hao wanawake na mali kibao,kazi yao sasa ni kutumbua na wanaume wengine,sisi wanaume tutaenda mbinguni kabisa
Thubutu
 
Mwanaume_ni_nani...!!!?

1 Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochote...!!

2 Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke aliyemfumania kisha akaoa mwanamke aliyeachwa kwa kosa la kufumaniwa...!!

3 Mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake halali kabisa kisha akasingiziwa mtoto wa mwanaume mwingine na akakubali...!!!

4 Mwanaume ni kiumbe cha pekee ambaye anatafuta hela kwa jasho na nguvu kwa ajili ya mwanamke...!!!

5 Mwanaume ni kiumbe cha pekee ambaye anaweza kujiua kisa tu amekataliwa na mwanamke..!!

Pale mvaa skate anapojipachika uanaume kwa vile tu nae anavaaga suruwali wanazovaa wanaume!

Mleta mada hizo sifa ulizozitaja nimezi-bold hapo juu ni za baba yako na ukoo wako sisi wanaume wengine hatuna ujinga huo.
 
Anaongelewa mvulana na si mwanaume.
Imagine boxer wiki-2 na vitu vyoote negative hivyo ni kwa wavulana tu.
 
Back
Top Bottom