Kuanzisha thread kama hii ni umama tena ulokithiriMwanaume kutega alarm huo ni umama, Mwanaume ni kutega bomu likilipuka na wewe unaamka.
Ebu taja na wewe umama ambao mwanaume hawatakiwi kuufanya
`kabisa mkuu tena umama wa kiwango cha fryoverMwanaume kulialia eti demu wako kavaa nguo zako na amezitanua ni u_big mama
Mwanaume kulialia eti demu wako kavaa nguo zako na amezitanua ni u_big mama
Mwanaume ukinyimwa papuchi na mkeo then unakuja jf kuomba ushauri ni Umama pia[emoji23]View attachment 897199
Haahaa.. Wamefikia mpka hatua ya kusema mwanaume kuvta pumzi ni UMAMA.. Hubana pumz mpka kihama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume tunatabu