MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,240
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] uchochezi huu
Kuchangia hoja km hii ni Umama
Kuanzisha thread za kimama
Huu unaoendelea hapa ni umama..
Hata kumjibu mwenzio huo ni UMAMA mwanaume wa kwel anamfata Mod na kumwambia afute uzi, ampige ban jamaaa!Kuanzisha thread kama hii ni umama tena ulokithiri
Kufumba macho ni umama, mwanaume unatoboa kabisa macho uwe kipofuMwanaume kununua tochi ni umama wa kiwango cha SGR. Inatakiwa utembee kwenye giza totoro ukiwa umefumba macho ujigonge ugoko ukomae..
Inaonekana wamama ni wabaya sanae maana umama ni umegeuza kua tusi kama yalivyo matusi mengine unatumia heshima ya mama kwa mambo ya kipuuzi bas mtoa mada una tabia ya kisenge ..sijatukana bana badala ya kuandika umama nikaandika ivyo maana hayomaneno yote yanatumika kumuonya mtu
***** [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mwanaume kupaka superblack huo ni umama, Mwanaume ni kupaka Oil chafu
Nawe pia mmama kwani umelitaja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]mwanaume Kutaja neno umama kwa kila jambo nao ni UMAMA
Mwanaume kutoboa macho ili uwe kipofu huo ni Umama,mwanaume unakata kichwa kabisa unatembea na kiwiliwili tu.Kufumba macho ni umama, mwanaume unatoboa kabisa macho uwe kipofu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume kutoboa macho ili uwe kipofu huo ni Umama,mwanaume unakata kichwa kabisa unatembea na kiwiliwili tu.