Hujaelewa mada ndugu. Issue sio kumlea au la, suala ni jinsi mlivyoishi pamoja na mwenza wako mkapanga mambo maisha yakawa poa, then ghafla mtu anaingilia na kuharibu mambo. Umeifikiria thread hii kwa level ya chini sana. Wanaoibiwa wapenzi ni pamoja na walio kwenye ndoa ndugu!