mwanaume sio mtu

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Mi sijali,we nenda uendako,rudi asubuhi,mtoto aumwe poa tu nitampeleka amana,nizae na wewe unifanyie vituko,unalala huko huko,waongo sana wanaume,umalaya tu,mnatutesa sana lakini mjue yote kwa yote mtato....bewa tu...........niko uswazi hapa napost live ishu, mdada anamwaga sera wakati tunasubiria mechi ya barca/real madrid.
 

Kesho lazima uchelewe kazini na hiyo El Classico match labda kama uko likizo..

Halafu muda kama huu mamsapu anakusubiri mmpeane pole kwa shughuli za siku nzima jamani ikiwemo kuongea kidogo!!
 
Kesho lazima uchelewe kazini na hiyo El Classico match labda kama uko likizo..

Halafu muda kama huu mamsapu anakusubiri mmpeane pole kwa shughuli za siku nzima jamani ikiwemo kuongea kidogo!!

Kwanza hata sijui shwaitan gani kanituma kuja mitaa hii.
 
Na wewe ukirudi home si unajua eeh! Kwanza unatukanwa kama mwenzio, afu unapigwa. Ama siku hizi kakua kaacha kukupiga?
 

Mkeo kaamua kukuchamba leo eeeh? Heheheheeee swaaafi sana. Btw, your wife (my girlfriend) loves me.
 

Linakuhusu hilo, wewe usiku huu hujarudi nyumbani!
 
Hapo pamesha haribika unatamani umwambie punguza sauti lakini haiwezekani,ndio silaha aliyowajalia Mungu,anaku-punish kwa kutumia mdomo wake,huwa naogopa ikishafikia hapo,na hapo lazima uwe mpole tu kwa wengine kinachofuatia hapo ni kuanza kutoa dozi ya mkog'oto.Eee Mungu niepushe na hilo balaa.
 
Hizo zilikua hasira tu. Hata kama una hela vipi bila mwanaume hela zako si chochote. Hawa ndugu zetu wakisha kasirika hawana breki wala sitaha. mia
 
me nilijua tutapigwa tu ndo maana nikajilalia zangu...kweli sisi si watu kwanza tunamiguu mitatu....
 
baada ya El classico.. hukujitolea kumpoza hasira huyo mdada Magendoni(gasti hau..)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…