mwanaume sio mtu


Wakikasirika midomo yao hainaga breki hawa,mwisho atakwambia 'mwone malaya kama baba yako'.
 
Yah muda muafaka ukifika na muolewaji akipatikana,nasaka hapatikani asalaleeee!

Aliekuloga keshakufa.
Sijaona comment yako kule kwa wifi@Kaunga kwenye sakata la hgelo, mie na wewe nakuambia!
 
Kama na wewe sa6 usiku upo mbali na mkeo.....hapo utu wako uko wapi?....kweli wanaume sio watu...


Huna tv kwako ??
 
Kama na wewe sa6 usiku upo mbali na mkeo.....hapo utu wako uko wapi?....kweli wanaume sio watu...

Futa kauli mkuu ( wanaume sio watu...)
Inamaana mume wako ni kitu gani kama siyo mtu???
Tutake radhi mkuu, ni kwa ajili ya mumeo pia.
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…