Mwanaume soma hapa kwanza

Mwanaume soma hapa kwanza

Faxlex

Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
75
Reaction score
196
MWANAUME SOMA HAPA KWANZA

1. Starehe ya dakika 3 isikuharibie mfumo wa maisha yako mazima

acha kufanya mapenzi bila kondomu n watu hamjapima bado

acha kunyonya uchi

acha kuwagonga wake za watu

acha kubaka watoto

2. Achana kabisa michezo ya kufirana
Usimfanye mtu awe mwanaume au mwanamke kinyume na maumbile
Usikubali kuingiliwa nyuma

3. Punguza kujipiga nyeto na kuangalia video za ngono

Hapa wengi najua mnapenda sana ila hii kitu si nzuri kwa afya ya akili yako na dudu yako

4. Kama hujajipata bado punguza starehe zisizo za lazima ....akili yako ifocus kutengeneza pesa maendeleo tu ...

5. Dont let mwanamke akusumbue akili

Hapa namaanisha kumpenda sana kisi kwamba anajua halafu anakuwa juu yako chochote anachofanya makusudi huna cha kumfanya unaishia kulia lia hapo unabembeleza [emoji23] be a man bana

6. Mwanaume hupaswi kuwa na wivu au chuki kwa mwanaume mwenzio anayefanya vizuri

Trust me hutakaa uendelee maisha yako yote chuki ikijaa moyoni inakudestroy unaharibu kila kitu chako bila kujua baraka zinapotea

7. Usije kumdhalilisha mtu kupitia utani ili uchekeshe watu wakati mwenzio anaumia

Hii ipo sana hasa kwa washkaji anjifanya nakutania kumbe ndo anatoa madhaifu yako kwa watu

8. Tabia za ubahili kutokumuhudumia mke wako ndani acha bana ....tunza familia yako

9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi my dia usije ukakaa unalala ndani tu huku mkeo anapambana ....kama huamini fanya hivo uone

Ni bora utoke ukazunguke tu upige vibarua ukakae kwa washkaji jioni urudi lakini sio kulala ndani unasubir uletewe ...mwanamke hana uvumilivu wa hivo ni wachache sana ukibahatika

10. Watoto wako ndio kila kitu chako waweke karibu aiseee kupita maelezo
 
MWANAUME SOMA HAPA KWANZA

1. Starehe ya dakika 3 isikuharibie mfumo wa maisha yako mazima

2. Achana kabisa michezo ya kufilana

3. Punguza kujipiga nyeto na kuangalia video za ngono

Hapa wengi najua mnapenda sana ila hii kitu si nzuri kwa afya ya akili yako na dudu yako

4. Kama hujajipata bado punguza starehe zisizo za lazima ....akili yako ifocus kutengeneza pesa maendeleo tu ...

5. Dont let mwanamke akusumbue akili

Hapa namaanisha kumpenda sana kisi kwamba anajua halafu anakuwa juu yako chochote anachofanya makusudi huna cha kumfanya unaishia kulia lia hapo unabembeleza [emoji23] kumamake be a man bana

lazima utakuwa Generation Z
 
Namba 1 na 5 zinafanana kimtindo.

Tuishi hapa
Namba
2
6
8
10
 
Back
Top Bottom