Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ni kweli BB..hili ni fumbo......literally meaning huna lolote uwezalo isipokuwa kuvaa suruali...yaani hujiwezi labda kifedha etc....kama wanaume wanavyofaa......
Hapa sasa nimeelewa.
Mbona binti mwenyewe ni mtumishi wa ndani wa nyumba jirani?
Ila si unajua mapenzi hayabagui wala hayachagui?
Kumbe demu mwenyewe beki # 3 ? hapo itakuwa unamtumia tu bila matunzo yoyote.
Lakini mbona hai-make sense yoyote? Eti mwanaume suruali...what the fcuk is that?
Kwa nini isiwe shati? chupi? kondomu?
Lakini mbona hai-make sense yoyote? Eti mwanaume suruali...what the fcuk is that?
Kwa nini isiwe shati? chupi? kondomu?
mwanamme suruali ni yule mwanamme anaejuulikana kuwa mwanamme kutokana na kuvaa kwake suruali tu lakini sifa nyengine zote walizonazo wanaume wenziwe yeye hana
( huu msemo ni wa zamani katika kipindi ambacho wanawake walikuwa hawavai suruali)
hahaha NN bwana uishi vituko.
Kumbe demu mwenyewe beki # 3 ? hapo itakuwa unamtumia tu bila matunzo yoyote.
Aaaa B. Beauty...."vituko" is my middle name...
Eti wewe umepewa kazi ya u-mod hapa?
nimepewa u-mod wa infidelity na ninataka nianze na wewe..imetulia eeh?
Nimekuwa nikimhudumia kwa kila hali, si kweli kwamba si provode ngawira kwake.
kwani beki 3 ndio jamani? hapa tunaangalia mwanamke kama mwanamke na si position ya huyo mwanamke eiza ni 1st lady, beki 3 au la.
okay nimekupata.Sikuwa na maana hiyo nilimaanisha kama ni mfanyakazi wa ndani basi labda Bujibuji ni bahili kwasababu wanaridhika na vitu vidogo.
sasa hivi tabasamu litazaa kicheko.Nimetabasamu
sasa hivi tabasamu litazaa kicheko.
Mbona tayari.....
teh teh teh safi sana NN subiri dawa ichemke fresh.
Kuna maeneo fulani wao wanasema "Umugosi u-musuluwali". Uanamume uko kwenye suruali. Kwa maoni yangu ni vyema kujua hasa anakusudia nini huyo dada anaposema mwanaume suruali. Inawezekana anakupongeza kuwa u rijali wa haja!