Mwanaume tafuta hela ununue gari uwapelekee moto kwa chipsi kavu

Hahaha umeandika kwa hisia kama wanaume Wa jamii forum wote unawafahamu , Magari tunayo ila hatufanyi ujinga broh
ha ha ha! Mkuu nyuma kidogo wana jf wakisema tafuta hela nilijisikia vibaya. Kumbe hela ndo kila kitu.

Mwaka 2020 nilimuona wazr na naibu wazr wamesimama pemben ya mlango wa gar wa mchimba madin wa kahama huku mikono wameikusanya kwenye vikojoleo vyao. Nilistaajabu sana. Nikauliza kulikon, nikajibiwa huyo dogo mchimbaji ndiye anawapa posho za wajumbe.
 
Leo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu.

Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi.

Acha ujinga tafuta pesa.
Nb. Mimi nina madeni mengi.
Mkuu hii iwekee frame hapo sebuleni kwako ili wajukuu waje kuona fahari babu yao alivyokuwa kidume wa kukesha maabara kutafuta uvumbuzi wa matatizo ya jamii na kuwatengenezea njia nzuri ya kimaisha na kuwachia urithi wajukuu zake. Jitahidi uruke na ndege ule ke white kabisa Kama kule Copa Cabana,Maldives ,Spain, Bahamas,carribean beaches
 
Hao ma naibu waziri na waziri ni wakike au kiume mkuuu looh [emoji31][emoji1785]
 
Hivi [emoji848]..gari ni kitu kikubwa sana mtu kumiliki? Mbona kuna watu wanaya-treat magari kama kitu special sana. Siku hizi gari siyo anasa wakuu, gari ni basic need.
kwa kuwa unalo unaona la kawaida.

Gari ina radha yake, wenye magari mnaheshimiana na kuheshmika. Tunza gari lako vzr lidumu.

Ngoja nilime pamba na tumbaki nikamenye hata kakarina namba CBZ nipate hadhi kwenye jamii.
 
Leo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu.

Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi.

Acha ujinga tafuta pesa.

Nb. Mimi nina madeni mengi.
Ushirombo imezungukwa na machimbo.karibu chama cha kumeza njegere kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…