Japo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu...Wakuu habari,
Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.
Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?

Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo.

Kwa hiyo nakutesa?Kweli achana nae tu unamtesa jamaa yetu..😜
Upo sahihi mkuuJapo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu...
Muache yeye Baki na mimi..😅Kwa hiyo nakutesa?
Acha kiherehere we si mwanaume.Siwezi msamehe.
Mungu hakuwahi kuumba mtu asiye na uwezo kabisa wa kuishi bali ni tamaa na uzembe wa vijana wa leo.Wakuu habari,
Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?
Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.
Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo.
Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Kama noma na iwe noma....nauchuna af naanza kula kinyonge mzee ....Wakuu habari,
Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?
Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.
Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo.
Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Bro..tulia namuwakilisha shemeji yakoAcha kiherehere we si mwanaume.
Unawezaje kumpenda mtu na ukamsaliti?Uhalisia ni kwamba binti anampenda sana kijana sema ndo ivo tu
Mwanamke msaliti mdangaji haupaswi kuendeleza naye mahusiano!kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?
Huyo binti kama hana uwezo wa kukidhi mahitaji yake mwenyewe ana fanya kazi ili iweje??kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti
Mtu kasafirir mpaka mkoa mwingine kwenda kufanaya kazi...eti anataka ahufumiwe na jamaa aliyempata huko kisa huyu wa kwake hana uwezo..?ahudumiwe kwani ni kilema kwamba hwezi kufanya kazi?? tunatoa za vitu vidogo tu huyo hafai piga chini kabda jogoo hajawika.
Lile lenyekipara sio shemeji yangu aisee bora yule shemeji tumbotumbo.😎Bro..tulia namuwakilisha shemeji yako