Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kuna yale majina ya kike yametokana na majina ya baba zao ila tu yamegeuzwa herufi ya mwisho.
Mara nyingi huwekwa "A".
Muda mwingine mzazi hulazimika kupindua jina ili tu kuleta sare ya majina katika familia yake.
Spiritually inaleta athari.
Mfano wa majina hayo ni Gabriella, Raphaella, Michaella, gadiella n.k
Hakuna ndoa yenye wanaume wawili.
Take care